"Kampuni yetu a Woiso Original Products ilipata nafasi ya pekee kushiriki katika maonyesho ya TIMEXPO mwaka 2023, ambapo sisi kama kampuni tulipata faisa nyingi sana kubwa - ikiwa moja wapo ni kulinki masoko ya ndani na nje ya nichi ambapo tulikutana na wafanyabiashara wa ndani tukapata uvezo wa kukopi teknolojia kutaoka advance technology - tukafaidi vitu vingi. Lakini sambamba na hilo, pia kampuni ilipata faida ya kukutana na wafanyabiashara wawili, watatu, kubadilishana mawazo, kupata wateja wapya wa ndani na nje ya nchi. Tulikuwa tunakutana na wadau ambao ni targeted...ambao wanakuja kwa mpango wa kuchukua vitu kwa jumla or for business use - iyo ni baadae. Tofauti na hayo maonyesho mengine amabyo tumeshiriki tunakutana na wateja ambao ni wa spot sales - analipa cash...ni kununua na kwenda kutumia.
Mwisho nitoe rai kwa watanzania na wadau wote kwamba washiriki maonyesho ya TIMEXPO 2024 kwa lengo kubwa la kukuza na kutanua wigo mpana wa masoko yao".
Justin Msigwa
Woiso Original Products